1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaAsia

02.12.2023 Matangazo ya Jioni

2 Desemba 2023

Marekani yaahidi dola bilioni tatu kwa mfuko wa uhifadhi wa mazingira. Israel na Hamas wanakabiliana wakati idadi ya vifo vya Wapalestina ikiongezeka na Rais wa Somalia afurahia kumalizika kwa vikwazo vya silaha vya Umoja wa Mataifa.

https://p.dw.com/p/4ZiIX