Tanzania: Wabunge 19 waliovuliwa uwachama kutoka CHADEMA wamesema hawataondoka katika chama hicho na watakata rufaa kamati kuu kupinga kufukuzwa/ Mjadala umeibuka nchini Tanzania kufuatia kauli ya Ndugai/ Kenya: Wanafunzi ndio wanaoambukizwa virusi vya HIV kwa wingi/ Msalaba Mwekundu laonya kuhusu habari za uongo za chanjo ya COVID-19