Marekani yamuwekea vikwazo Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Iran Mohammad Javad Zarif // Ujerumani haitoshiriki ujumbe wa kijeshi wa mlango wa bahari wa Hormuz // Na Baraza la Usalama kuijadili hatua ya Korea Kaskazini kufanya majaribio ya karibuni ya makombora