Serikali ya Zimbabwe yawaonya wagombea wa uchaguzi dhidi ya kutangaza mapema matokeo // Facebook yamesema imegundua kampeni mpya ya kuingilia uchaguzi wa bunge nchini Marekani // Na Chama tawala Afrika Kusini kitafanya marekebisho ya katiba ili kuruhusu kutwaliwa mashamba ya wazungu