Chama Cha Mapinduzi CCM nchini Tanzania kimefungua rasmi pazia kwa wanachama wake wanaotaka kuwania ubunge// Afrika itakuwa mada kuu wakati Ujerumani baada ya kuchukua urais wa Umoja wa Ulaya wa kupokezana Julai mosi// Ethiopia- Watu wauawa na maandamano yaenea kwenye miji kadhaa// Macron: Ulaya itaendeleza mapambano ya ugaidi eneo la Sahel// HRW: Malawi ihakikishe haki za binaadamu.