Corona: Trump aonya juu ya uwezekano wa kuongezeka kwa vifo/ Kiwango cha maambukizi barani Afrika bado kiko chini/ Ugonjwa wa Corona tayari umeingia Burundi/ Kenya: Mashirika ya kutetea Haki za Binadamu yamevikosoa vyombo vya dola kwa jinsi vinavyotekeleza amri ya kutotoka nje usiku/ Ulaya yaanza biashara ya mabadilishano na Iran