1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.04.2018-Matangazo ya Mchana Saa 7:00 (Afrika Mashariki)

1 Aprili 2018

Waumini wa Kikristo ulimwenguni wafanya maombi ya kusherehekea siku kuu ya Pasaka.// Waziri wa ulinzi wa Israel ameupinga wito wa kufanywa uchunguzi kuhusu Wapalestina 15 ambao waliuawa na jeshi la Israel Ijumaa iliyopita,// Rais Mpya wa Botswana Mokgweetsi Masisi ameapishwa leo kuchukua wadhifa wake rasmi

https://p.dw.com/p/2vKmX