1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.04.2018. Matangazo ya Jioni Saa 12:00 (Afrika Mashariki)

1 Aprili 2018

Kiongozi wa kanisa Katoliki ulimwenguni Papa Francis atoa ujumbe wa amani na maridhiano duniani katika hotuba yake ya sherehe za Pasaka. //Waziri wa ulinzi wa Israel ameupinga wito wa kufanywa uchunguzi kuhusu Wapalestina 15 waliouawa na jeshi la Israel.// Wanamgambo wa kundi Alshabaab, wameishambulia kambi ya kijeshi ya kikosi cha Umoja wa Afrika iliyoko kusini magharibi mwa Somalia.

https://p.dw.com/p/2vLjm