Jumuiya ya kimataifa kulaani mapinduzi ya kijeshi nchini Myanmar na kutowa wito wa kuachiliwa mara moja kwa Aung San Suu Kyi na wenziwe serikalini/ Mawakili wa Bobi Wine wamewasilisha kesi katika mahakama ya juu ya Uganda kupinga matokeo ya uchaguzi/ Geneva: Wajumbe wa Libya wamekutana kuchagua viongozi wapya wa muda