Myanamar: Jeshi limetangaza hali ya dharura na kuchukua madaraka/ Kansela Merkel kukutana na wakuu wa majimbo kuhusu COVID-19/ Zanzibar imeripotiwa waziwazi kwamba makamu wa kwanza wa rais wa visiwa hivyo Maalim Seif ameambukizwa virusi vya corona na amelazwa hospitalini?/ Kumeibuka matukio ya watu kuuwawa na watu wasiojulikana na kuleta hofu hasa katika eneo la Matevesi mkoani Arusha