1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.01.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

1 Januari 2024

Mataifa katika maeneo yote ya ulimwengu yapo katika sherehe za kuukaribisha Mwaka Mpya, huku watu wengi wakitarajia nyakati bora licha ya mizozo katika maeneo ya Mashariki ya Kati, Ukraine na kwengineko barani Afrika.

https://p.dw.com/p/4akxo