Étienne Tshisekedi asema yeye ni Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
19 Desemba 2011Matangazo
Tshisekedi amesema amewafuta kazi mawaziri wote wa serikali ya Kabila na magavana wa majimbo.
Hata hivyo Chama tawala kimelaani matamshi hayo na kuyataja kama uchochezi wa chuki na vurugu nchini humo.
Taarifa kamili na mwandishi wetu saleh Mwanamilongo
Mwandishi Sale Mwanamilongo
Mhariri Josephat Charo