1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zitto Kabwe ameacha alama gani chama cha ACT Wazalendo?

6 Machi 2024

Chama cha upinzani nchini Tanzania cha ACT Wazalendo kimefanya uchaguzi wake wa ndani mwezi huu wa Machi 2024 huku Zitto Kabwe akitangaza kutogombea tena nafasi ya kiongozi wa chama hicho. Je, ni alama gani anayoiacha ndani ya chama hicho kama muasisi na mwenyekiti wa chama hicho? Suleiman Mwiru amezungumza na mchambuzi wa siasa za Tanzania Marcel Hamduni.

https://p.dw.com/p/4dEkj