1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zimbabwe kuondoa zuio biashara pembe za ndovu

Hawa Bihoga
8 Septemba 2022

Zimbabwe imejipanga kuondoa marufuku yake ya kuuza pembe za ndovu ambayo iliiweka zaidi ya miongo mitatu iliopita, hatua hii imezusha wasiwasi miongoni mwa wadau wa wanyamapori nchini humo

https://p.dw.com/p/4GZl9