1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaZimbabwe

Meza ya Duara : Zimbabwe iko tayari kwa Uchaguzi huru?

Josephat Charo11 Agosti 2023

Josephat Charo amewaalika wataalamu na wachambuzi wa siasa kujadili hali nchini Zimbabwe kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa mnamo Agosti 23. Uchaguzi huo utampambanisha rais Emmerson Mnangagwa anayewania muhula mwingine dhidi ya Nelson Chamisa, kiongozi wa upinzani anayesaka kuingia ikulu. Je, taifa hilo liko tayari kufanya uchaguzi huru na wa haki?

https://p.dw.com/p/4V39E