Ziara ya Kamishna wa Umoja wa Ulaya Louis Michel nchini DRC
11 Desemba 2008Matangazo
Umoja wa ulaya umetolewa wito wa kupeleka vikosi vyake kwenye eneo hilo jambo ambalo halijapata ridhaa ya wanachama wote wa EU.Kadhalika bwana Louis Michel amemwasilsihia waraka maalum kiongozi wa waasi Jenerali Laurent Nkunda.
Kutoka Goma John kanyunyu ameandaa taarifa ifuatayo.