Zanzibar yaadhimisha miaka 48 ya mapinduzi
12 Januari 2012Matangazo
Othman Miraji amezungumza na mwandishi wa habari, Issa Yusuf, kutoka uwanja wa Amani/Unguja mjini kunakofanyika kilele cha sherehe hizo ambako Rais wa Zanzibar, Dr. Ali Mohammed Shein, aliwahutubia wananchi. Kwa mujibu wa Issa Yusuf, muhimu aliyoyasema Dr. Shein ni...