1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ZANZIBAR: Vyama vikuu vigawane madaraka

1 Septemba 2005
https://p.dw.com/p/CEfc

Kwa mujibu wa wachambuzi wa kisiasa,serikali ya kugawana madaraka kati ya vyama vikuu viwili vya kisiasa vya Zanzibar,huenda ikawa njia pekee ya kupunguza mivutano na kuzuia mmuagiko wa damu wakati wa uchaguzi baadae mwaka huu,katika visiwa hivyo nchini Tanzania.