1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zaidi ya watu 100 wameuwawa katika shambulizi Nigeria

6 Juni 2022

Idadi ya watu waliokufa katika shambulizi baya kabisa la bunduki lililotokea nchini Nigeria jana Jumapili imepanda na kufikia 100. Katika shambulizi hilo watu wenye silaha waliwavamia kanisani waumini wa wakristo waliokuwa kwenye ibada na kuwafyetulia risasi. Zaidi usikilize uchambuzi wa Ali Mali alpozungumza na Rashid Chilumba.

https://p.dw.com/p/4CKwy