1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zaidi ya wakimbizi milioni 2.8 wamekimbia vita Ukraine

14 Machi 2022

Takwimu za Umoja wa Mataifa zinaonyesha watu zaidi ya milioni 2.8 wamekimbia Ukraine tangu Urusi ilipoivamia kijeshi nchi hiyo mnamo Februari 24.

https://p.dw.com/p/48T3j