1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Yatakayojiri mkutano mkuu wa CCM

Isaac Muyenjwa Gamba10 Machi 2017

Maandalizi kwa ajili ya kikao cha halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM ) inayokutana kesho kwa ajili ya kupanga agenda za mkutano mkuu maalumu wa kwanza wa chama hicho kwa mwaka huu wa 2017 yanaendelea huko mjini Dodoma. DW imezungumza na katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole, anaye fafanua zaidi yanayojiri kuelekea mkutano huo.

https://p.dw.com/p/2YypL