1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Yaliyotawala Afrika wiki hii

Sylvia Mwehozi2 Julai 2021

Mjadala wa kudai katiba mpya Tanzania washika na Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma ahukumiwa kifungo cha miezi 15 jela. Haya ni miongoni mwa yaliyojitokeza barani Afrika wiki hii na aliyeandaa makala hii ni Sylvia Mwehozi.

https://p.dw.com/p/3vws4