1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Vladmir Putin kwenda Saudi Arabia

5 Desemba 2023

Ikulu ya Urusi Kremlin, imetangaza kwamba rais Vladmir Putin atakwenda nchini Saudi Arabia na Umoja wa Falme za kiarabu kesho Jumatano.

https://p.dw.com/p/4ZnKg
Dokumentation Vorschaubild | Die Arktis - Putins neue Grenzverschiebung?
Rais wa Urusi Vladmir PutinPicha: Java

Ikulu ya Urusi Kremlin, imetangaza kwamba rais Vladmir Putin atakwenda nchini Saudi Arabia na Umoja wa Falme za kiarabu kesho Jumatano. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumanne  na msemaji wa Ikulu ya Urusi, Dmitry Peskov, ziara hiyo inalenga kuimarisha mahusiano kati ya mataifa hayo na Urusi pamoja na kuzungumziakuhusu nishati na masuala ya siasa za kikanda ikiwemo mgogoro kati ya Israel na kundi la wanamgambo la Hamas na siasa za Kimataifa.

DW Kiswahili | Saumu Mwasimba
Saumu Mwasimba Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW