1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wolfsburg yapepea kileleni mwa Bundesliga

Josephat Charo
13 Septemba 2021

Wolfsburg wasema hatuondoki ng'o kileleni mwa Bundesliga kwa sasa. Mabingwa watetezi Bayern Munich waigaragaza RB Leipzig ugenini. Borussia Dortmund yaishinda kwa tabu Bayer Leverkusen. Jamal Musiala achaguliwa mchezaji bora mechi za siku ya nne za Bundesliga. Dar Young Africans waangukia pua pambano la kufuzu ubingwa barani Afrika.

https://p.dw.com/p/40GVs