Wadau mbalimbali wanaitolea wito serikali ya Uganda kufanya uchunguzi kubaini chanzo cha moto uliounguza sehemu ya chuo kikuu cha Makerere. Aidha wanataka ukarabati ufanywe haraka kwa chuo hicho ambayo wanasema ni fahari yao. Lubega Emmanuel anasimulia zaidi