Waziri wa usalama wa raia wa Burundi akutana na viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
7 Mei 2008
Waziri wa usalama wa raia wa BURUNDI, GUILLAUME RUNYONI na ambae anaongoza kamati ya mawaziri wa ulinzi wa maziwa makuu amekutana na viongozi wa DRC ilikukadiria utekelezwaji wa mpango huo.
https://p.dw.com/p/Duct
Matangazo
Kamati hiyo ya mawaziri iliundwa kufuatia mkataba wa amani,usalama na maendeleo uliotiwa saini na ma raïs jijini Nairobi,desemba 2006.
Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo