1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waumini wa Kikristo Dar es salaam waadhimisha Pasaka

ANUARY MKAMA MMT/6 Aprili 2023

Waumini wa dini ya kikristo wanasherehekea kufufuka kwa Yesu Kristo, Pasaka inatajwa kuwa ni sikukuu kubwa kwa wakristo licha ya baadhi ya watu kuendelea kuichukulia kama tukio la kihistoria lakini bado dhana yake ya kuonyesha upendo wa Mungu kwa wanadamu kama ambavyo viongozi wa dini ya kikristo wanavyoelezea. Anuary Mkama kutoka Dar es salaam amekuandalia mengi.

https://p.dw.com/p/4Pmwr