1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Wakristo waandamana mjini Bukavu kupinga vita

1 Desemba 2022

Nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, waumini wa kanisa katoliki wamefanya maandamano ya amani mjini Bukavu kupinga vita mashariki ya Congo na kuunga mkono juhudi za kuleta amani. Shughuli nyingi zimekwama mjini Bukavu kutokana na maandamano hayo. Sikiliza ripoti ya Mitima Delachance kutoka Bukavu.

https://p.dw.com/p/4KLkd