JamiiWatoto wa Rohingya wanakabiliwa na taabu makambiniTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiSylvia Mwehozi23.08.201823 Agosti 2018Ni mwaka mmoja tangu wakimbizi 700,000 wa Rohingya walipokimbia ukandamizaji wa vikosi vya usalama vya Mynamar katika jimbo la Rakhine. Watoto nusu milioni walioko katika makambi bado wanakabiliwa na madhila mbalimbali. Papo kwa Papo 23.08.2018. https://p.dw.com/p/33dYxMatangazo