1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wasiwasi ziwa Nakuru baada ya idadi ya Flamingo kupungua

Wakio Mbogho23 Aprili 2021

Kumeibuka wasiwasi kufuatia kuripotiwa kwa vifo vya Flamingo katika hali tata, wakati kukiwa na hofu kwamba huenda ndege hawa wanaangamizwa na sumu ilioko kwenye makaazi yao mapya. Ungana naye Wakio Mbogho katika makala ya Mtu na Mazingira akiangazia tishio la kupungua kwa idadi ya ndege ya Flamingo katika ziwa Nakuru.

https://p.dw.com/p/3sUs6