Wasiwasi Marekani kufuatia mauaji ya polisiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video18.07.201618 Julai 2016Papo kwa Papo 18.07.2016: Washukiwa wa mauaji ya polisi watatu Baton Rouge wasakwa, Polisi Ufaransa yawakamata washukiwa watatu zaidi wa mashambulizi ya Nice na Warepublican kumuidhinisha Donald Trump kuwa mgombea wa uraishttps://p.dw.com/p/1JR2xMatangazo