1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Rwanda

Washukiwa wawili wa mauaji ya kimbari Rwanda wafariki

John Juma16 Mei 2024

Washukiwa wawili wa mwisho waliokuwa wakisakwa na mahakama ya kimataifa wa mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda IRMCT, wamethibitishwa kufariki. Hayo yamethibitishwa jana na waendesha mashtaka wa mahakama hiyo, miaka 25 tangu kutoweka kwao.

https://p.dw.com/p/4fvSG