1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Historia

Wangari Maathai: Mwanaharakati asiye ogopa

Yusra Buwayhid
3 Machi 2020

Uamuzi wa kumtunza mwanaharakati wa mazingira Tuzo ya Amani ya Nobeli ilishangaza wengi mwaka 2004. Lakini pia ilitilia msisitizo mchango wa Vuguvugu la Ukanda wa Kijani la Wangari Maathai katika kujenga jamii yenye Amani na iliyo endelevu.

https://p.dw.com/p/3YnsP