1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wanaowania nafasi ya urais Tanzania

Josephine Tatu Karema/MMT29 Septemba 2020

Heka heka za mchakato wa uchaguzi zimeendelea kushika kasi nchini Tanzania. Vyama mbali mbali vya kisiasa tayari vimezindua ilani zao za uchaguzi na sasa lililobaki ni kuwashawishi wapiga kura kuelekea uchaguzi huo mkuu wa mwezi Oktoba na kusubiri uamuzi wao. Tatu Karema anawaangazia wanawake wawili waliojitokeza katika makala hii ya wanawake na maendeleo.

https://p.dw.com/p/3j9C5