1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake walioachana na ungariba Tanzania

ANUARY MKAMA19 Desemba 2018

Safari hii, makala ya Wanamke na Maendeleo imepiga kambi katika jamii ya Wamasai waliopo wilaya ya Kilindi na kukutana na wanawake waliokuwa mangariba, lakini sasa wameachana na kazi hiyo ya kuwakeketa wasichana. Je ilikuwaje na wanafanya nini kwa sasa? Anuary Mkama anakusimulia zaidi.

https://p.dw.com/p/3AN4U