Je kwa kiasi gani wanawake wanashiriki katika kubuni, kutumia na kuendeleza teknolojia kwa malengo ya kutoa huduma na kujikimu katika uchumi? Hawa Bihoga analiangazia kwa kina suala la ubunifu katika nyaja ya teknolojia, akijitikita zaidi katika ujasiriamali wa biashara ya mtandaoni.