1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake na kilimo cha mpunga nchini Burundi

Sylvia Mwehozi
3 Juni 2019

Kilimo cha mpunga na biashara ya mchele ni moja ya shuhuli inayowawezesha wanawake wengi wa mitaa ya kaskazini mwa jiji la Bujumbura kumudu hali yao ya maisha. Yapi manufaa na changamoto wanazo kumbana nazo wanao endesha shuhuli hiyo, Ni hayo tutakao angazia katika makala hii ya wanawake na Maendeleo, ino letwa kwako na Amida ISSA.

https://p.dw.com/p/3Jf9v