1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanaotafuta hifadhi wananyanyaswa na kubaguliwa Canada

Saleh Mwanamilongo
7 Julai 2021

Mbali na sifa yake nzuri ya kuwa nchi inayowapokea wahamiaji na wakimbizi, Canada inawashikilia na kuwanyanyasa maelfu ya wahamiaji kila mwaka, wakiwemo watu wanaokimbia mateso katika nchi zao, na wanaotafuta ajira na maisha bora. Makala hii ya Mbiu ya Mnyonge inaangazia madhila ya baadhi ya wahamiaji hao nchini Canada.

https://p.dw.com/p/3w90D