Mzozo wa madaraka nchini Sudan haujaathiri tu mfumo wa kawaida wa maisha ya wakaazi, masomo pia yameathirika kwa kiasi kikubwa,wanafunzi wa masomo ya udaktari wamekaribishwa katikia taifa jirani la Tanzania kwenye chuo kikuu cha afya na hospitali ya taifa Muhimbili, ili kukamilisha masomo yao.