1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu 18 wakamatwa Tanzania kufanya kampeni kabla ya wakati

salma mkalibala3 Juni 2020

Watu 18 wamekamatwa Tanzania akiwemo afisa wa (TRA) Muhaji Mrope na wanachama wengine wa (CCM) kufanya vikao vya kuwashawishi wajumbe watakaopiga kura za maoni kabla ya wakati, kumchagua afisa huyo mwenye nia ya kugombea ubunge mkoa wa Mtwara.

https://p.dw.com/p/3dBb8