1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakimbizi,wahamiaji walalamika manyanyaso Afrika Kusini

Bryson Bichwa19 Mei 2022

Watu wanayakimbia mataifa yao kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo machafuko ya kisiasa na majanga ya asili.Nchini Afrika Kusini wahamiaji na wakimbizi wanalalamika kupitia madhila mbalimbali ikiwemo ni pamoja na kunyanyaswa na wazawa, kukosa msaada kwa mashirika ya kimataifa yenye dhamana ya kuangalia kundi hilo. Katika makala ya mbiu ya mnyonge Bryson Bichwa anamulika madhila hayo

https://p.dw.com/p/4BVrf