1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakimbizi wa Sudan Kusini wajipanga upya kujikimu kimaisha

5 Januari 2022

Kenya ni mwenyeji wa takriban wakimbizi zaidi ya laki moja kutoka Sudan Kusini. Kwa ushirikiano kati ya wakimbizi wanaoishi ughaibuni wameweza kuzindua mradi wa uwekezaji wa nyumba unaogharimu dola milioni 4.4 mjini Nakuru, Kenya. Makala yetu leo inaliangazia hilo mtayarishaji ni wakio Mbogho kutoka Kenya.

https://p.dw.com/p/45Am4