tatizo la vipigo na manyanyaso ya kijinsia limeendelea kuwa kubwa kote ulimwenguni. Na wanawake wameendelea kuwa waathirika wakubwa wa unyanyasaji huo. Video hii fupi ina maoni ya wakazi wa Dar es Salaam kuhusiana na vitendo hivyo. wasikilize. #Kurunziwanawake