1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakazi wa Chato wa uaga mwili wa marehemu Magufuli

25 Machi 2021

Mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania, Marehemu John Magufuli, unaagwa nyumbani kwake katika Uwanja uliopewa jina lake, ikiwa ni siku ya mwisho kwa Watanzania kutoa heshima zao za mwisho kwake kabla ya hapo kesho kulazwa rasmi katika nyumba yake ya milele.

https://p.dw.com/p/3rBw8