1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wahamiaji zaidi wajaribu kuvuka ujia wa English Channel

11 Agosti 2021

Wahamiaji zaidi wanaondoka Ufaransa kuelekea Uingereza kwa kujaribu kuvuka bahari katika ujia wa English Channel katika harakati za kutafuta maisha bora. Iddi Ssessanga ndiye aliyekuandalia makala ya Mwangaza wa Ulaya wiki hii na analiangazia suala hilo.

https://p.dw.com/p/3yqwG