1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wadudu walio hatarini kutoweka

5 Agosti 2022

Wadudu walio hatarini kutoweka Ungana na Salma Said kutoka visiwani Zanzibar katika makala ya Mtu na Mazingir, ambapo anazungumzia viumbe ambavyo viko katika hatari ya hutoweka kutokana na athari za mabadiliko ya tabia nchi, huku wataalamu wa mazingira wakitafuta namna ya kukabiliana nayo.

https://p.dw.com/p/4FB75