1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wadau wa siasa wazungumzia demokrasia nchini Tanzania

Florence Majani15 Septemba 2023

Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Demokrasia wadau wa vyama vya siasa nchini Tanzania wametoa maazimio kadhaa ikiwamo kurekebishwa kwa sheria za uchaguzi, kuundwa kwa katiba mpya na kuzuia vitendo vya uonevu katika uchaguzi ili kutekeleza demokrasia halisi na ya kweli nchini humo. Florence Majani, alituarifu kwa kina juu ya siku hiyo kutoka Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/4WOZf