1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wachambuzi wa Tanzania wazungumzia uchaguzi wa Kenya

9 Agosti 2022

Mchakato wa uchaguzi nchini Kenya unafikia kilele chake Jumanne wakati mamilioni ya wapiga kura wanashiriki shughuli ya kupiga kura. Lakini Kenya imetajwa kuwa na utofauti fulani linapokuja suala la demokrasia katika mchakato mzima kuelekea uchaguzi na hata baada. Kwa kufananisha mchakato huo wa Kenya na taifa jirani la Tanzania, Tatu Karema amezungumza na Lenny Kasoga mchambuzi kutoka Tanzania.

https://p.dw.com/p/4FKT3