1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vuguvugu la wahamaji Kusini mwa Jangwa la Sahara

Hawa Bihoga
10 Machi 2023

Rais wa Tunisia Kais Saied hivi karibuni alisema anataka kudhibiti wahamiaji haramu wa Kiafrika, ambao alidai wanatishia utambulisho wa taifa lake.Tazama video inayotathmini je, Afrika kaskazini imekuwa pahala pageni kwa wahamiaji wa Afrika?

https://p.dw.com/p/4OUtk