1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vuguvugu la maandamano nchini Hungary

Daniel Gakuba19 Desemba 2018

Vuguvugu la maandamano nchini Hungary, ambalo limezushwa na hasira za umma dhidi ya sheria mpya ya ajira, inayowapa waajiri mamlaka ya kuwafanyisha wafanyakazi wao kazi ya ziada ya masaa 400 kwa mwaka. Daniel Gakuba anaangazia zaidi katika makala ya Mwangaza wa Ulaya.

https://p.dw.com/p/3AN4T